FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Naamini unajua hizi timu kubwa kinachopaswa kukubeba ni mbinu za bench la ufundi, ukizingatia upo home, angalia TP Mazembe leo
Gamondi kawapeleka makundi ya Cacl baada ya miaka 25 (robo karne) baro unamuona hana mbinu ?
 
Badilisheni tuone...
 
Hadhi ya mashindano aliyofika fainali Yanga inafanana na mashindano aliyofika robo fainali Simba?

Unaelewa kwanini malengo ya Yanga ni kufika makundi Club Bingwa na sio zaidi ya hapo?
Hata caf confederations yanga alivyoshiriki hakuweka malengo ya juu alitaka makundi .

Timu inapoweka malengo ya juu inawapa msukumo mkubwa zaidi wachezaji pasipo na ulazima , ili timu ifanikiwe inatakiwa iwe malengo ya kushinda kila mchezo unaokuja mbeleni .
 
Unazijua hesabu za yanga
wacha nikusaidie Madeama tunampiga nje ndani point 6 hizo
Wale waarabu wa mchongo tunawakanda hapa nyumbani
Ahly tutaamua kumpiga au tutoke nae draw kwao

Yanga yuleeee.....

Watu weweee....
Rahisi sana kuongea ila kutenda ni vigumu.

Muda utatoa jibu, tuombe uzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…