Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Acha tu na mawazo simba inanikatisha tamaaYanga Imekamilika mkuu,kwani wewe huoni wakibeba hili kombe? Kikosi kina vijana watupu Tena hatari sio kama Simba yetu ya wazee.
Engineer Hana mshindani.
Aziz ki alikuwa mzigo hakimbii , hakabi , hapigi mashuti alikuwa yupo yupo tu gamondi alichemka kumwacha na kumtoa nzengeli .Yanga kipindi Cha pili wamepoteana
Nakubaliana na wewe kuwa malengo ya Yanga shirikisho yalikuwa ni kufika makundi.Hata caf confederations yanga alivyoshiriki hakuweka malengo ya juu alitaka makundi .
Timu inapoweka malengo ya juu inawapa msukumo mkubwa zaidi wachezaji pasipo na ulazima , ili timu ifanikiwe inatakiwa iwe malengo ya kushinda kila mchezo unaokuja mbeleni .
To be honest I'm really excited when I see comments like thisAziz ki alikuwa mzigo hakimbii , hakabi , hapigi mashuti alikuwa yupo yupo tu gamondi alichemka kumwacha na kumtoa nzengeli .
Yanga inahitaji striker Wawili wa nguvu dirisha dogo Kama inataka kushinda mechi ya belouzid na Al ahly
Ila Kwa Kiwango cha Leo madeama anafungwa na yanga mechi inayofuata .
Mkuu, amka kwanza ndiyo uandike humu. Ukiwa unaandika huku ukiwa umelala unakosa sana uhalisia. Amka kwanza.Unazijua hesabu za yanga
wacha nikusaidie Madeama tunampiga nje ndani point 6 hizo
Wale waarabu wa mchongo tunawakanda hapa nyumbani
Ahly tutaamua kumpiga au tutoke nae draw kwao
Yanga yuleeee.....
Watu weweee....
Kama sio wao waliotucheka tulivyodroo na Asec MimosaNakubaliana na wewe kuwa malengo ya Yanga shirikisho yalikuwa ni kufika makundi.
Lakini tukubali kuwa sababu ya wao kupitiliza hiyo hatua ilitokana na wepesi wa wapinzani.
Timu zote mlizocheza nazo zingine ndio kwanza zilikuwa zinatafuta makundi kwa mara ya kwanza.
Na nyingi zilikuwa mwishoni mwa msimamo mwa ligi zao za ndani, Marumo ikashuka na daraja kabisa.
Hilo liliwapa advantage ya kuweza kufika mbali.
Lakini huku kwa wakubwa ni ngumu sana kukutana na opportunity hiyo, nyie hamkuwa wakushangilia sare tena mkiwa nyumbani.
Malengo yenu ya kutinga hatua ya makundi yameshatimia , huko kwingine jipangeni siku nyingineYANGA kwa mjibu wa takwimu za CAF tayari imecheza na timu 2 bora zaidi kuliko yenyewe na MAKOLO lakini tumekusanya point 1.
SIMBA imecheza na timu 2 dhaifu kuliko yenyewe na imekusanya point 2 tu.
ASEC na JWANENG ni underdog kwa SIMBA lakini SIMBA imeshindwa kuonyesha ubora wake.
YANGA ni underdog kwa CRB na AHLY lakini tumeonyesha ushindani mkali kuliko SIMBA
Kwa YANGA yangu tunamfunga H&A Mediama na pia CRB tunamfunga hapa home na tuta atleast draw na AHLY kwa hiyo tuna uwezekano mkubwa wa kutinga robo final.
YANGA tupewe heshima yetu
Mpira tumeuona,fighting spirit tumeionaHivi yanga mnawezaje kuwa comfortable huku mnaburuza mkia.... Nawaona mko sawa tu
Tulijua hili baada ya King Mayele kusepa, ndiyomaana tulimsajili Konkoni chaguo la pili baada ya kukosa striker chaguo la awali tokana na bei ghali,Safu ya ushambuliaji itaigharimu sana Yanga kwenye mashindano haya.
Muda wa mafuta kujitenga na maji unakaribia. Mechi ya Galaxy ya hapa dar newer mnaweza kushinda, nje ya hapo hata draw sioni mkiipata.Simba ndio mbabe kwenye kundi akiwa na Wydad
Mkuu kwa mjibu wa CAF SIMBA wametuangusha.Malengo yenu ya kutinga hatua ya makundi yameshatimia , huko kwingine jipangeni siku nyingine
Msimu uliopita Manyaunyau SC hamkuchapwa mechi 2 mfululizo kwa Mkapa mechi za awali baadaye mkashinda na kutinga robo fainali za CAFCL?Hivi yanga mnawezaje kuwa comfortable huku mnaburuza mkia.... Nawaona mko sawa tu
Kwani c tulikubaliana yanga kila mchezaji anafungaYanga tunachokikosa kwa sasa ni mshambuliaji tu wa kati wa kiwango cha Fiston Kalala Mayele. Dogo Mzize anakuja vizuri, ila bado anahitaji muda wa kufikia kiwango cha yule mwamba.
Iko sawa na ndo maana nakwambia Pasuka vimba ila draw ya nyumbani yanga kwenu haina faida yoyote..Akili yako ipo sawa kweli!! Au umelewa?
Mwaka huu hakuna shirikisho la kutoka CLHivi timu ya mkiani wasipofuzu wanaenda wapi? Muwasanue wasidhani Kila mwaka wataangukia Shirikisho
Kaa kwa kutulia mtani usije lowana kotekote hiyo ni kwa mjibu wa CAF RANKSHebu amka usingizini, utajikojolea buree