FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Hii ni game ya Aziz Ki. Akiwa na game nzuri Yanga ina nafasi ya kufanya vizuri ila Al Ahly wakimbana vilivyo akapotea, itakuwa game ngumu sana kwa Yanga
 
Sijui sana kiufundi nani yuko bora kwa sasa, lakini hii mechi imeshamalizwa na wazee.

Anayeombea Yanga ifungwe leo nampa tahadhari mapema ajiandae na pain killer za kumeza.

Mtakachokiona leo wengi hamtoamini macho yenu.

I have said it.
Nalafu mnajinadi eti mnaendeshwa kisasa, how, which? Ninachoweza kukubaliana na wewe ni kwamba hii mechi walikabidhiwa wazee.
 
Gongo wazi ndo vibonde kundini,,,,hata medeama hamumuwezi kumbukeni hii mechi hakuna kupita mango wa nyuma
 

Kikosi cha Tai Wekundu Al Ahly chatangazwa​

2023/12/02​

Starting XI announced for Young Africans SC​


CAF Champions League, Al Ahly's Starting Line-up, Marcel Koller, Football

Marcel Koller has named our starting XI for Matchday 2 of the CAF Champions League group stage against Young Africans SC at Benjamin Mkapa Stadium.
Here is our starting XI:
  • El Shenawy
  • Yasser Ibrahim Ahmed El Hanafi
  • Ramy Rabia
  • Mohamed Hany
  • Maaloul Ali - mtunisia
  • Marawan Attia
  • Aliou Dieng - kutoka Mali
  • Emam Ashour
  • Hussein Ali El Shahat
  • Percy Muzi Tau - wa bondeni South Africa
  • Mahmoud Soliman a.k.a Kaharaba
Picha toka ligi kuu ya Egypt


Picha toka maktaba : wakishangilia mabao yao mawili ambayo walinzi Ramy Rabia na Ali Maaloul walipachika nyavuni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…