FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

Kinachowagharimu yanga ni kuingia kwenye ligi ya mabingwa wakiwa na visheni ya kuishiq makundi.

Yani bingwa unaingia katika mashindano na mabingwa wanzako unavision za kufeli. Lengo kuu linatakiwe liwe kuchukua kombe. Hayo mengine yabaki matokeo.

Kwa kikosi hikihiki kikibadilishiwa visheni kinauwezo wa kufunga timu zote za haya mashindano.
Nna visheni ya kua na mvii eitee kesho hope nikiamka nitaikuta
 
So ww ndio kwa hii timu yako iliyo choka mwili na akili unaweza kupata matokeo kwa Asec na Wydad...... yaani mnavyo zitiia ugumu mechi za wenzenu ,mtazani nyinyi mna timu ya maana.Kumbe mnajitafuta sasa hivi hata hamjielewi.
Makolokolo SC fans hayana hata upeo kutambua matokeo yao leo ni Wachezaji walijitutumua kuonesha wanaweza ili wapate namba kwa Kocha mpya, ndiyomaana walipata sare na Jwaneng Galaxy SC.

Muda utabainisha ipi ni timu bora 2023/ 2024 [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Simba ugenini ni kibonde wa hatari, alikuwa anapigwa hamsa ugenini anakuja kuchomoa mechi za kwa Mkapa. Simba ya kuchomoa kwa Mkapa ilishaisha sasa imebakia historia. Tofauti ya Yanga na Simba kwenye haya mashindano ni kuwa, wakati Yanga amrshacheza na wababe wote wa group, Simba Simba bado hajakutana nao.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app

Simba ndio mbabe kwenye kundi akiwa na Wydad
 
Al haly 1 liyanga 1 nimechukia
Bwahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa [emoji851]
JamiiForums-31645776.jpg
JamiiForums2137737030.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom