YANGA kwa mjibu wa takwimu za CAF tayari imecheza na timu 2 bora zaidi kuliko yenyewe na MAKOLO lakini tumekusanya point 1.
SIMBA imecheza na timu 2 dhaifu kuliko yenyewe na imekusanya point 2 tu.
ASEC na JWANENG ni underdog kwa SIMBA lakini SIMBA imeshindwa kuonyesha ubora wake.
YANGA ni underdog kwa CRB na AHLY lakini tumeonyesha ushindani mkali kuliko SIMBA
Kwa YANGA yangu tunamfunga H&A Mediama na pia CRB tunamfunga hapa home na tuta atleast draw na AHLY kwa hiyo tuna uwezekano mkubwa wa kutinga robo final.
YANGA tupewe heshima yetu