FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Heheheee! Umesahau mambo ya bure yanavyowapeleka yanga saa moja asubuhi pale kwa mkapa
 
Timu yangu pendwa sana leo inaenda kumkamia mtu migoli kedekede

#Kila la kheri Dar Young African#
#Full House#
#[emoji1665][emoji169][emoji172]#
 
Fungulia Mbwaa mapemaa..kama uwanjan ulikuwa umejaa kabla kwa sold out..Hawa wanaenda kukaa wapi
Your browser is not able to display this video.
 
Hakuna kitu duniani najivunia kama kua Shabiki wa YANGA....
WANANCHIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
[emoji172][emoji169]
Mnachoweza kujaza ni bakuli la supu tu
 
Reactions: BRN
Aliyebuni haya majezi mweusi na meupe aina ya ( KUNGURU) Mungu anamwona. Wamechafua brand ya timu kabisa. Ukianhalia kwenye majukwaa yamechafua
 
Kipi kinachothibitisha kuwa hao wameingia bure?
Sikushangai kwa sababu huko wenye akili wako wawili tu..utaratibu wa kuingia uwanjani unafahamika lazima ukaguliwe tiketi..je hapo umeona?
 
Mtu unaenda kunywa supu hata hujui maandalizi yake labda mtu kuchanganya na maji ya kuchambia.
Mkiwa jukwaani mnapiga kelele zenu mwenzenu anawachora tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…