FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

FT: Yanga 2-1 Red Arrows | Siku ya Wananchi 2024 | Mkapa Stadium

Hata lile la Kaizer Chiefs lilikuwa bonanza, lakini tulienda kuwapokea wachezaji airport kwa gwaride, tena usiku mnene. Kwa hiyo tusijifiche kwa kigezo cha bonanza
Kwani mlikatazwa kwenda kuwapokea wachezaji wenu? Sasa nani aliwatuma mcheze na timu za mitaani,maana kuna kipindi ilifikia kila timu ya ligi kuu haitaki kucheza na nyie,mkawa mnatembea na mpira mitaani, kila vijana mtakao wakuta wanacheza cha ndimu mnawaalika mcheze nao. Hapo ulipo ukiulizwa hizo mechi ulizo ambiwa umeshinda uliziona na ushahidi unao juu ya huo ushindi huna cha kujibu.
 
Baleke hana bahati na Mpira wa Tz.

Tatizo halikuwa Simba.

He is Old and Gone.

Na Utopolo sio wavumilivu kabisa
 
The best performance kutoka kwa Yanga mpaka sasa japokuwa matokeo hayapo upande wake. Timu ina tembea ipasavyo katika kuanzisha mashambulizi mpaka mwisho na mpira ni ule ule wa kasi. Mzize angekuwa ana akili ya mpira score board isingesomeka 0 kwa Yanga
 
Babu yake Chama JR
Screenshot_20240804-221944.jpg
 
Back
Top Bottom