Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Unatumia nini, wamekusikiliza kweli? Wewe mhudumuu, kuweni serious na kazi.Angalia burudani kijana, mimi nipo hapa na kula kula na shushia na udambwidambwi wa Pacome.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatumia nini, wamekusikiliza kweli? Wewe mhudumuu, kuweni serious na kazi.Angalia burudani kijana, mimi nipo hapa na kula kula na shushia na udambwidambwi wa Pacome.
Mashabiki wap drNamna gani pale naona mashabiki wameanza Kuondoka huku wanatukana Mambo gani hapa 🤣🤣🤣
Kwani kuna nini muda huu?Makolo kenueni tu mda mfupi ujao mtanuna.
Kwani mlikatazwa kwenda kuwapokea wachezaji wenu? Sasa nani aliwatuma mcheze na timu za mitaani,maana kuna kipindi ilifikia kila timu ya ligi kuu haitaki kucheza na nyie,mkawa mnatembea na mpira mitaani, kila vijana mtakao wakuta wanacheza cha ndimu mnawaalika mcheze nao. Hapo ulipo ukiulizwa hizo mechi ulizo ambiwa umeshinda uliziona na ushahidi unao juu ya huo ushindi huna cha kujibu.Hata lile la Kaizer Chiefs lilikuwa bonanza, lakini tulienda kuwapokea wachezaji airport kwa gwaride, tena usiku mnene. Kwa hiyo tusijifiche kwa kigezo cha bonanza
Nipo na kula koroso huku nikihudumiwa na shemeji yako ambaye nae ni Kolo FC.Unatumia nini, wamekusikiliza kweli? Wewe mhudumuu, kuweni serious na kazi.
Manara anachekea tumboni 😃Sherehe yetu ni nzuri ila muda ndio haukupangiliwa pamoja na kirusi manara
Shemeji ana akili mno.Nipo na kula koroso huku nikihudumiwa na shemeji yako ambaye nae ni Kolo FC.
na tumejua kuvumilia sanaUtopolo leo watafika nyumbani wamechoka sana