FT: Yanga 2-1 Simba | Yanga yatwaa Ngao ya Jamii

Eng.Hersi azuie hizi tabia za kijinga kwenye klabu anayoiongoza.
Nilichokiona kwa Hersi nimegundua ni mtu ambaye anatakiwa awe chini ya mtu yani awe anaongozwa bado hajawa matured kwenye uongozi na kimaamuzi

Hili swala la kumpa cheo kwasababu kachangia kuifanya Yanga ichukue ubingwa linaweza kuja kui cost timu baadaye
 
Kwa hiki kikosi sijui why nilinunue ticket ya kwenda uwanjani,nilidhani kikosi kipya full vyuma ila upuuzi tu wa kupeana presha
Mkuu mechi za Derby hasa hii ya kwetu hapa bongo huwa zina matokeo ya kushangaza sana. Hicho kikosi una dharau kina weza kukupa ushindi ila Mungu Atusaidie YANGA tushinde Aamiiin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…