FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ habari wanayo madunduka.
πŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’šπŸ’›πŸ’š
 
Hii mechi sio nyepesi kwa Yanga kama vile watu wanavyodhania. Kumbuka mechi ya kule Zanzibar hadi watu wanataka kupigiana kisa kupaniana, ndivyo na leo Singida lazima wataingia katika mchezo wakitaka matokeo kwa namna yeyote ile.
Umeangalia kikosi Cha leo Cha sbs
 
na mimi kuanzia leo yanga naomba Bantu Lady unipokee kwa ukaribisho
 
Ndomana mwaka huu tumekuja na ubaya ubwela. Simba mechi zote kumi na mbili tunaenda kushinda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…