FT | Yanga 2-1 Singida Black Stars | NBC Premier League | KMC Complex | 17.02.2025

Hizi ndo habari za kusikia sasa
 
Wakicheza na Simba huwa wanakimbia kama wendawazimu. Leo wapo na ndugu zao wanapiga pasi kama wanawapasia Yanga.
 
Dube Na Aziz Ki kuna kitu Hakipo sawa kwao

Ni kama Dube hamtaki Ki kwenye anga zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…