Mmepigwaaa hakuna cha clean sheet mwaka huuu mko hovyooo kila kona. Wakubebwa fcYan Yanga hii uifananishe na makolo waliofungwa juzi na timu ya djibout ambayo azam aliifunga 3 π,ebu kuwa serious kidogo ππ
We are still unbeaten,azam leo ndio mliipa nguvu ivunje rekodi,tunapasua kila atakaekuja mbele yetuMmepigwaaa hakuna cha clean sheet mwaka huuu mko hovyooo kila kona. Wakubebwa fc
Wenzio tunajiandaa kulala wewe bado upo na masononekoGoli la kuswazisha mpira ulishakuwa njeView attachment 2348101
Amebebwa wapi?hivi ukuona bajana alistahili red card au hujui mpira unashabikia tuSimba kufungwa na djibout unaona kesi?.Kesi ni Yanga kubebwa leo kila mtu ameona aibuuuu
Unbeaten ndo nini au mimi sielewi?.Yani mnatoka sare still unajiita unbeaten sasa hayo magoli mawili ni madafu?We are still unbeaten,azam leo ndio mliipa nguvu ivunje rekodi,tunapasua kila atakaekuja mbele yetu
Haa! kumbe ni mbongo, nilizani n wa Kimataifa. βtatzo hachezei Simba au Yanga' angeitw tu..Na hili waliangalie kwakweli timu ya Taifa ifumuliwe tumechoka uyanga na usimba humo.
Kwahyo hyo red card inaondoa ukweli kama mmebebwa goli la mpira uliotoka mkarudisha ndani? Hata ww utakua hujui mpira.Amebebwa wapi?hivi ukuona bajana alistahili red card au hujui mpira unashabikia tu
Alafu zile zilikuwa za kirafiki, si vibaya kukosea wkt wa mazoezi.Simba kufungwa na djibout unaona kesi?.Kesi ni Yanga kubebwa leo kila mtu ameona aibuuuu
mnaloga ndo maana hata kuingia mlipitia milango ambayo siyo.Tulivyowafunga zile 2 za mayele tulibebwa
Ujue tumemnunua ghaliAziz Maufunguo ni player wa kawaida sana.
Sio Key ni Ki. Mshahara wake apewe Fei TotoAziz Maufunguo ni player wa kawaida sana.
Refa alikuwa na makosa mengi leo Ila %kubwa ya makosa leo yamewanufaisha yangaAmebebwa wapi?hivi ukuona bajana alistahili red card au hujui mpira unashabikia tu
Hata BM hakupaswa kumaliza hii mechiRefa angekua fair azam wangecheza pungufu leo,sema makolo mmejizimisha data tu,yule bajana alistahili 2nd yellow
Kabisa Kaka yani ingetengenezwa na ratiba ya mfululizo wa pressHili hata wao hawana majibu, ila lingekuwa upande wa Azam Fc pasingekalika.
Hii game Yanga kabebwa sanaIla build up ya goal ni kituko. Mshika kibendera kashindwa kufanya kazi yake
Apewe mudaUjue tumemnunua ghali