FT: Yanga 2-2 Azam FC | NBC PL | Uwanja wa Benjamin Mkapa | 06/09/2022

Huwa ni kawaida kwa unbeaten team kwny mechi 40 mfululizo, timu inazokutana nazo huwa zinapania sana zivunje huo mwiko,. Ndicho kilichoitokea Yanga Leo. Hebu wape hongera Kwa kujitahidi kulinda rekodi yao
Labda unbeaten kwa maana ya kwamba Refa hana uwezo wa kuwapiga adhabu kwenye matukio yenu uwanjani

Lakini kwa fairness hiyo unbeaten ya ligi ukiichunguza ina makando kando mengi sana ambayo hata wewe unayajua ila ni vile huwezi ku admit kwasbabu ya mahaba yako na timu
 
40 games now... Hebu muelimishe huyo mbumbumbu mwenzako maana ya unbeaten kuliko kuandika utetezi ulioandika hapa..
40 games na refa ameendelea kubaki katika kiwango chake kile kile
 
40 games na refa ameendelea kubaki katika kiwango chake kile kile
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umepaniki broo..., kwaio unakataa kuwa sio uwezo wa Yanga S.C kuendelea kuwa unbeaten paka Leo??Bali ni uwezo wa waamuzi wa ligi yetu eti???
 
Hivi kipa wa unbeaten team imekuwaje leo kapigwa goli mbili na wauza ice cream?
 
Beki za yanga zinakaba kwa macho ni waganga tu ndo wanasaidia hii team ila hamna team pale bila mbeleko za refa leo karia angetukanwa sana.
 
Hawana akili kabisa
 
Wewe hujui mpira
Wewe niache bwana unaniqoute qoute nini wewe?.wewe ndo unaujua sasa?.au na ww ndo walewale kudakia dakia bora mm naonyesha uhalisia pale napotaka kujua nimeuliza unbeaten ndo nini?.nimeshapata jibu..Ila umeng'ang'ana na sijui mpira sijui mpira ww unaejua umewahi hata kuwa mshika kibendera?.

Au na ww unasubiri wachambuzi maandazi waje wakuchambulie ule?.mimi kwangu nyie Yanga sio unbeaten kwa mbeleko hizo ni upupu tuu. Unajisifu unbeaten wakati lango lenu linafumuliwa kama kawa midroo drooo ndo nini sasa..
 
Beki za yanga zinakaba kwa macho ni waganga tu ndo wanasaidia hii team ila hamna team pale bila mbeleko za refa leo karia angetukanwa sana.
Yanga wana mabeki washamba tu,goli la pili la azam jamaa kaituliza ile cross mpaka anashoot amna beki amemuwah yule jamaa,hata ile ya dube anapiga inaenda kwenye cross bar walimuangalia tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…