Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Labda unbeaten kwa maana ya kwamba Refa hana uwezo wa kuwapiga adhabu kwenye matukio yenu uwanjaniHuwa ni kawaida kwa unbeaten team kwny mechi 40 mfululizo, timu inazokutana nazo huwa zinapania sana zivunje huo mwiko,. Ndicho kilichoitokea Yanga Leo. Hebu wape hongera Kwa kujitahidi kulinda rekodi yao
Lakini kwa fairness hiyo unbeaten ya ligi ukiichunguza ina makando kando mengi sana ambayo hata wewe unayajua ila ni vile huwezi ku admit kwasbabu ya mahaba yako na timu