FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

FT: Yanga 5-0 Zalan (Agg 9-0) | Caf Champions League | Mkapa Stadium | 17-09-2022

Champion league ina amuliwa kwa timu kuchukua ubingwa

Timu yao imechukua ubingwa ila ni ligi mbovu, kwanza imeanza around 2014 pili hata upinzani wao uwanjani unaweza kuona ni kiasi gani ni low

Angalia tu kwenye mpira wa mwisho wa moloko ambapo cross yake imeenda juu ya lango. Alikuwa amezungukwa na wachezaji watatu lakini wote wanamuangalia, hakuna aliyemfata kumzuia mpala jamaa anautuliza na kupiga shuti
Malalamiko yako yana husiana na nini,?
 
Yanga wanamkosa mtu kama chama kwenye mechi ya leo the football brain aziz ki mmepigwa mchana kweupe kwanza hana utulivu kabisa.
Sema tena! Ha ha ha ha aha ...kama kwrli ni mshabiki wa mpira hiwezi kutouona uzuri wa Aziz Ki.
Ni mchezaji wa daraja la juu sana sema anacheza na wenzie aliowazidi mbali na kuonekana umuonavyo.
 
Back
Top Bottom