Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haijafunga magoli 7 Caf group stage kaa [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]Miaka yote wakati Simba inautumia uwanja huo Yanga hata mashindano ya Losers walikuwa hawachezi. Unaikumbuka ile timu ya Wanaigeria walikupiga nje ndani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shukrani mkuu[emoji120] u made my dayTumewakosa hapa
Hizi ni motivation hata ulaya kuna kitu kinaitwa bonus kwa kila mechi watakayo shinda na kwa kila hatua timu itakayo piga kwenye mashindano.Nyie uwezo hamna wa kufunga magoli mengi.Mkuu achana na ahadi za kisiasa. Kama makocha wangekuwa wanaangalia ahadi hizo na kuweka utaalamu wao pembeni, basi ungeona Nabi amewaanzisha Mayele, Musonda, Mzize kwa mkupuo
Wote si ni wale wale ndio maana CAF wakaona wapange mechi tarehe ya leo? [emoji16]Asante Yanga mmetupa zawadi ya Women's day [emoji8][emoji8][emoji8]
SIzitaki mbichi hiziHizi timu za confederation cup ni dhaifu
Katika mashindano gani ya CAF? maana kuna mashindano ya wanaume(Klabu bingwa)na mashindano ya Loosers kwa mujibu wa Manara wenuNasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haijafunga magoli 7 Caf group stage kaa [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Naiscreenshot hii reply,Mazembe atajipigia uto na real bamako, points 9, ushindi wa uto kwa Monastir ni sare sio kama hawa vilaza makosa kibao.
Ile angeichop kwa kimo cha chini kidogo tungewachapa goli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shukrani mkuu[emoji120] u made my day
Tungefungwa msingesema hayo,Katika mashindano gani ya CAF? maana kuna mashindano ya wanaume(Klabu bingwa)na mashindano ya Loosers kwa mujibu wa Manara wenu