FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

FT: Yanga S.C 2-0 As Real Bamako | CAF Confederation Cup | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2023

Miaka yote wakati Simba inautumia uwanja huo Yanga hata mashindano ya Losers walikuwa hawachezi. Unaikumbuka ile timu ya Wanaigeria walikupiga nje ndani?
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haijafunga magoli 7 Caf group stage kaa [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
 
Mkuu achana na ahadi za kisiasa. Kama makocha wangekuwa wanaangalia ahadi hizo na kuweka utaalamu wao pembeni, basi ungeona Nabi amewaanzisha Mayele, Musonda, Mzize kwa mkupuo
Hizi ni motivation hata ulaya kuna kitu kinaitwa bonus kwa kila mechi watakayo shinda na kwa kila hatua timu itakayo piga kwenye mashindano.Nyie uwezo hamna wa kufunga magoli mengi.
 
Mtoto yake nepi
 
Attachments

  • Screenshot_20230308-204316.png
    Screenshot_20230308-204316.png
    48.5 KB · Views: 3
  • Screenshot_20230308-204255.png
    Screenshot_20230308-204255.png
    42 KB · Views: 3
Nasemajeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee??? Kama timu yako haijafunga magoli 7 Caf group stage kaa [emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Katika mashindano gani ya CAF? maana kuna mashindano ya wanaume(Klabu bingwa)na mashindano ya Loosers kwa mujibu wa Manara wenu
 
Back
Top Bottom