Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya tulizanaa sasa.Yanga wanashinda huu mchezo tulia na uone udugu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tulia mwasibu tulia......Au unaangalia marudio?
Jaribuni muone huhYanga tukifunguka hawa wanakaaa!π
Mimi nachekaga maoni haya utasema wachezaji wako online sahiz wanaonaπ€£π€£π€£Wanakosaaa bao waziii kabisaaa, cm zingeitaaa hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wanacheza wanao jua huwezi tegemea mambo ya kibu d humuGame haina hekaheka nilizozitarajia, umepoa sana.
Nawaona wajinga. Huwezi dharau mpinzani kwa kiwango hichi na upo ugenini. Yanga wakiacha uoga watapata goli.Jamaa wanacheza kama wapo mazoezini
Mamelodi wanapigwa leo πππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya tulizanaa sasa.