FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Hadi saizi Mamelodi ndio wanaoongoza Kwa possession,pili hii ya kukosa utulivu na kupapalika pale mbele ni shida sana Kwa timu zenu hizo
 
Japo Mimi Ni Simba kusema kweli hio move ya musonda angekua pacome ingekua habari ingine pia move za Max angekua pacome tungekua tunazungumza mengineo muda huu..

Still:
Mtani lolote baya liwakute 😂😂😂
 
Back
Top Bottom