FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Mechi ya makocha wa mpira wa kwenye madaftari.
i.e. Textbook Football
 
Bahati mbaya haya sio maonyesho ni game za maamuzi,nadhani wanacheza hivi kwa malengo maalum
Watu wanajifanya wanasahau kama hii ni champions leauge tena ni hatua za mtoano hakuna mjinga anayetaka kuruhusu Goli nyingi kipumbavu Tena kwenye Round kama hii kama wanataka Burudani wasubiri Mechi za Ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…