FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Hakuna walichikosea sema mdau hapo juu anadai eti Mamelod wanapata shida kwakua wamekutana na Yanga ambayo ni ya hovyo kwahiyo ndio sababu wanashindwa kuonyesha ubora wao. Ndio nilikua namjibu
Mamelodi hawana Mpango wa mechi ya Leo,wao watamaliza mechi kwao Kwa Nguvu zao zote.

Kwanza Yanga wamekaa nyuma so wote wanaviziana.
 
Possession
Possession ni 26 kwa 74 afu uko nyumbani

View attachment 2949409
Possession inatokana na idadi ya jumla ya pass zote kugawanywa kwa pasi za kila timu kisha zidisha mara asilimia 100..

Possession Kuwa kubwa kwa mamelods ni kwa sababu walikua wanakaa na mpira sana wanarudisha nyuma ndio maana umeona pass zao ni 307 huku yanga 111 jumla ya pass zilizomilikiwa ni 418..

111/418 ×100 = 26 huku 307/418 = 74

Mamelods wanakaa na mpira sana wanavuta muda
 
Kama Kuna mtu hajaona nidham ya Yanga kwenye uchezaji Leo basi aachane na mpira
45 Yanga wamecheza vizuri mno tena wamecheza kwa knock out game sio league safi sana
Game imechezwa kwa akili sana, japo kuna raia wanataka Yanga au Mamelodi wafunguke aggresively..sio rahisi
 
Back
Top Bottom