FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

kibonde al ahly tena![emoji44] kweli utopolo utopolo tu hata azaliwe ulaya.
 
Uongozi unahusika Vipi na benchi la ufundi?

Mbona unaleta mambo ya ajabu?

Wakati Yanga inatambulisha timu tulicheza na Kaizer Chief na vikosi viwili tofauti kila kipindi, wewe ulikuwa wapi?
Acha ushamba basi kama wewe ni mwanachama wa Yanga weka kadi yako hapa na Mimi niweke yangu unajua nimeteseka vipi leo
 
sasa attempt 100 goli 0 ndo umefanya nini? au kwasababu aucho hayupo[emoji3] utopolo bana.
 
Ok
 
Mamelodi walikamilika huyo Zwane alikua na mbadala sio kama Yanga Pacoume na Aucho mbadala wao mgumu kuupata.
Simba wa Dar zoo ajiseme Lamomy leo limewachoma sanaa.
 
Hivi yanga na mamelodi nani alikua anajilinda? Yanga chance zote walitumia counter attacks na bado wakakosaa.

Kuhusu mamelody walitawala dimba la kati, ila pale mbele leo shalulile na ribeiro hawakua na siku nzurii.

Nweiii pongezi kwenu, mmejitahidii.
 
HVI NDIVYO WAARABU WALI VYOSHEREHEKEA JANA DAKIKA 5 TU BAADA YA MECHI YA SIMBA NA AL AHLY KUANZA
Your browser is not able to display this video.
 

Attachments

  • Snaptik.app_7236196810765749510.mp4
    4.1 MB
Mamelodi wamepiga mashuti mangapi na Yanga Sc wamepiga mashuti mangapi 😁🀣
 
Hata game na Petro ilikuwa hivi hivi na shalile ndani [emoji16][emoji1787][emoji23] yaani Hawa wanaToa sare na piramid kwao wanifunge mie
Mbona hapa nyumbani kwako hujamfunga? Ndo ukamfunge kwake? Hebu nijibu kwan mtaniiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…