FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Haya matokeo watu hawatalala walijua kwakuwa wao wamefungwa na huyo kibonde basiiiiiiii na yanga hii ya moto itafungwa.... Mara ooooh Mamelod wanacheza kama ps nyenyeeeeeee mmeyabana mbupu zenu kama naniiiii [emoji39][emoji28][emoji28]. Jana na Leo na kesho mpk mwezi huu uishe ntanenepa maana ni mwezi wa mateso kwa Mwakarobo [emoji28]
kibonde al ahly tena![emoji44] kweli utopolo utopolo tu hata azaliwe ulaya.
 
Uongozi unahusika Vipi na benchi la ufundi?

Mbona unaleta mambo ya ajabu?

Wakati Yanga inatambulisha timu tulicheza na Kaizer Chief na vikosi viwili tofauti kila kipindi, wewe ulikuwa wapi?
Acha ushamba basi kama wewe ni mwanachama wa Yanga weka kadi yako hapa na Mimi niweke yangu unajua nimeteseka vipi leo
 
We umedraw mi nimefungwa point unazo ?
Hauna hoja kabishane na mashabiki wa Ali Ali na wewe jana ulipata ngapi
20240330_002110.jpg
 
Yanga imecheza pira lakikatili mno, masandawana nakuambia wanaenda kujiuliza mara saba saba kama watatoboa nusu maana ishaanza kuiingia mapichapicha. Yanga hajukaa na mpira sana lakini tumeongoza attemps on goals pamoja na shots on target kitu ambacho ndio muhimu kuliko kukaa na mpira, yaani mpira ungekuwa dakika 120 masandawana tungewavalisha dera leo...makolo hii yanga inaennda nusu fainali penda msipende
sasa attempt 100 goli 0 ndo umefanya nini? au kwasababu aucho hayupo[emoji3] utopolo bana.
 
Mamelodi walikamilika huyo Zwane alikua na mbadala sio kama Yanga Pacoume na Aucho mbadala wao mgumu kuupata.
Simba wa Dar zoo ajiseme Lamomy leo limewachoma sanaa.
 
Mamaa jana ulikua kimya wewe nimekushobokea sanaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Basi kama kucheza kimbinu leo Yanga alifanikiwa.Maana licha ya Mamelodi kumiliki mpira ila ana mashuti machache ya kulenga lango na Yanga ana mashuti mengi ya kulenga lango.
Pia licha ya key players watatu kukosekanika Yanga imehimili mziki wa Mamelodi.
Nadhani umetizama mpira umeona mwenyewe.
Mamelodi imeishia kupiga sana back pass.
Hivi yanga na mamelodi nani alikua anajilinda? Yanga chance zote walitumia counter attacks na bado wakakosaa.

Kuhusu mamelody walitawala dimba la kati, ila pale mbele leo shalulile na ribeiro hawakua na siku nzurii.

Nweiii pongezi kwenu, mmejitahidii.
 
HVI NDIVYO WAARABU WALI VYOSHEREHEKEA JANA DAKIKA 5 TU BAADA YA MECHI YA SIMBA NA AL AHLY KUANZA
 

Attachments

  • Snaptik.app_7236196810765749510.mp4
    4.1 MB
Hivi yanga na mamelodi nani alikua anajilinda? Yanga chance zote walitumia counter attacks na bado wakakosaa.

Kuhusu mamelody walitawala dimba la kati, ila pale mbele leo shalulile na ribeiro hawakua na siku nzurii.

Nweiii pongezi kwenu, mmejitahidii.
Mamelodi wamepiga mashuti mangapi na Yanga Sc wamepiga mashuti mangapi 😁🤣
 
Hata game na Petro ilikuwa hivi hivi na shalile ndani [emoji16][emoji1787][emoji23] yaani Hawa wanaToa sare na piramid kwao wanifunge mie
Mbona hapa nyumbani kwako hujamfunga? Ndo ukamfunge kwake? Hebu nijibu kwan mtaniiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom