Kati ya nani na nani hao waliocheza mpira, yaan unao walinganisha ili nikujibu kwa usahihi.Unakubali nini unakataa nini?
Yanga alijilinda sana huku akishambulia kwa kushtukiza.
Aisee ile game kama unajua mpira tizama jana na leo utasema mwenyewe nani amecheza mpira.
Kumbe timu ikicheza na yanga ndio kibonde ila ikicheza na Simba sio kibondeπ. Kuna shida mahali ..... Anayetuachia timu ni Mooo au Mangungu?πMbona alikuongozea kundi, na kwake alikuchapaa.?
Huo ukibonde ndo uwe leo hii??
Leo inaonekana walikuwa wanatafuta sare tasa na wametumia viungo wengi. Kule kwao huwa wanashambulia sana na hawajawahi kufungwa tangu 2019.Watatumia mbinu gani nyingine?
manake leo wametumia zote
Kama mamelodi angekuja kutafuta matokeo ugenini kwasababu ana wasiwasi wa kupoteza nyumbani, basi mashabiki utopolo wangekuwa na akili sana[emoji16]Unakubali nini unakataa nini?
Yanga alijilinda sana huku akishambulia kwa kushtukiza.
Aisee ile game kama unajua mpira tizama jana na leo utasema mwenyewe nani amecheza mpira.
weka takwimu tuone zavipindi vyote chakwanza nachapili.Mamelodi wamepiga mashuti mangapi na Yanga Sc wamepiga mashuti mangapi ππ€£
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee umtoe huyu msimu wa 6 plus anaishia Semi final, na juzi kanyakua AFL kwa kuwachabanga Al Ahly na Wydad?[emoji23][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji16] Kuna kumfunga na kumtoa we subiria kwake nyie si mlisema Leo Kuna Bongani zungu sasa dakika ya 10 game ilimshinda
Simba ingefanya usajili wa maana tungetisha, cha msingi tukiwa serious kuboresha timu zetu hata ndani ya miaka 5 tunaweza kukutana wenyewe fainaliMuhimu timu zote Simba na Yanga Zina nafasi tusizikatishe tamaaa mpira skuizi wa bongo umekuwa sana ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliyesema kibonde ni nanii?Kumbe timu ikicheza na yanga ndio kibonde ila ikicheza na Simba sio kibonde[emoji849]. Kuna shida mahali ..... Anayetuachia timu ni Mooo au Mangungu?[emoji12]
Mwakarobo tayari shughuli imeisha usimumunye maneno hapa.Muhimu timu zote Simba na Yanga Zina nafasi tusizikatishe tamaaa mpira skuizi wa bongo umekuwa sana ova
nampila wamecheza mwingi sana kushinda vyuraLeo inaonekana walikuwa wanatafuta sare tasa na wametumia viungo wengi. Kule kwao huwa wanashambulia sana na hawajawahi kufungwa tangu 2019.
wee vipi utafuzu?Mwakarobo tayari shughuli imeisha usimumunye maneno hapa.
Yanga hii kikosi cha leo kitaumwa week nzima,mpaka Baca alichoka si mchezoKama mamelodi angekuja kutafuta matokeo ugenini kwasababu ana wasiwasi wa kupoteza nyumbani, basi mashabiki utopolo wangekuwa na akili sana[emoji16]
Zito kama temboKwani kosa la mzize leo ni lipi?
namim nilishangaa sana maana mamelodi ndo walikuwa wanapoozesha mpira[emoji16]Yanga hii kikosi cha leo kitaumwa week nzima,mpaka Baca alichoka si mchezo
Kama utakuwa nwalimu basi darasa lako litakuwa na package kubwa Sana ya vilaza!!. Kama mfano wako ndio huu aloohh!!. Possession ni zao la mbinu zilizochaguliwa kutumika... Kama una akili walau ungejaribu kuangalia hiyo possession ya 70 Mamelod kaufanyia wapi?.Ball possesion 70 kwa 30 ni sawa na maksi ya mwanafunzi wa kwanza darasani na wa mwisho, halafu huyo mwenye maksi 30 wa mwisho anajitamba ni mbinu ya kumzidi aliyeongoza maksi.
Kwahiyo ulitaka asichoke si kapambana.. shule zifunguliwe mrudi boarding naona watoto mmejaa sana jfYanga hii kikosi cha leo kitaumwa week nzima,mpaka Baca alichoka si mchezo
Sawa ujue any draw ya magoli Yanga kapita?Leo inaonekana walikuwa wanatafuta sare tasa na wametumia viungo wengi. Kule kwao huwa wanashambulia sana na hawajawahi kufungwa tangu 2019.
Tatizo magungu amewafanya mazombie... Haujapita hata mwezi hapa... Mlikuwa mnasema yanga kacheza na Aly Ahly kibonde...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aliyesema kibonde ni nanii?