FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Vipi kwa upande wako mtani, mtavuka au umeshajikatia tamaa?
Mimi sitaki kujitia presha mtani tukifikia hapa sawa najua point zinaongezeka itakua robo fainali ya 5..mwisho wa siku tutapewa tuzo ya timu iliyoingia robo fainali back to back mara nyingi kuliko zote Africa.. πŸ˜† πŸ˜† πŸ˜†
 
Khaa!
Nani kachanganya mada??
Kwani yote si mashindano ya kimataifa??
Hayo ni mashindano yote ya CAF utofauti ni rank tu.
Kolouzdad bhana mwapenda kuruka vihunzi!!
Tulichokifanya shirikisho hata klabu bingwa kinawezekana ni mipango tu.
asa kama kinawezekana si utaje ata mechi moja tu uliyeshinda ugenin kwenye Champions leauge mbona unakua na stori nyingi wakati jibu ni simple tu
 
Na nilimaanisha huyohuyo Kipepe,ila we ndio ulianzisha eti Kipe😁😁....Kipepe wa chuma msumbufu sana!
🀣🀣🀣🀣 ila nyie mnanichekeshaga sana mtu na shosti ake… kasema uende akakununulie sato
 
🀣🀣🀣 mjumbe hauwawi da Joannah unaitwa upewe offer ya pasaka na shosti ako kipepe
Mwambie Kipepe Mimi nakula sea food,silagi Hizo Zina matope Hizo zinafaa yeye msukumaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…