Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
No ni matokeo manneHamasa ni muhimu ila football ni lazima iheshimiwa.
Football ina matokeo matatu, kushinda, kupoteza au kutoka sare.
Wote mnaokwenda uwanjani nendeni na matokeo haya, msiende na matokeo yenu mfukoni.
"Kuchekwa na mtani wako baada ya kufungwa"