FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Hamasa ni muhimu ila football ni lazima iheshimiwa.

Football ina matokeo matatu, kushinda, kupoteza au kutoka sare.

Wote mnaokwenda uwanjani nendeni na matokeo haya, msiende na matokeo yenu mfukoni.
No ni matokeo manne

"Kuchekwa na mtani wako baada ya kufungwa"
 
Kikosi cha Mamelodi kinachoanza
IMG_20240330_200702.jpg
 
Utakuwa msimu mbaya sana kwetu mashabiki wa Simba iwapo Yanga itavuka nusu na Simba kuishia tena robo. Nikiri tu kuwa, tutakuwa tumepanga nyumba iliyopo dimbwini msimu wa mvua. Ni kroooo kroooo.
Kabisa ofsa

Ndio maana matokeo ya jana nimeyachukulia easy kwasababu najua ili niumie hiyo itategemea na matokeo yatavyokuwa kwenye mechi hii.

Akisare tu Yanga nitajiskia vibaya sana yani roho itaniuma mno.

Akishindwa ndio kabisaaaa yani nitapagawa.

Akifungwa nitasahau kama jana namimi nilicheza.
 
Hahaha
 
Back
Top Bottom