Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hawana haraka kabisa. Ila Yanga nao wakishika mpira si haba, wanaweza kufanya kitu.Masandawana wanapoteza muda kupitia kipa wao!
Ndio faida ya kuwa na kipa mwenye uwezo wa kuchezea mpira
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana haraka kabisa. Ila Yanga nao wakishika mpira si haba, wanaweza kufanya kitu.Masandawana wanapoteza muda kupitia kipa wao!
Ndio faida ya kuwa na kipa mwenye uwezo wa kuchezea mpira
Hawa Mamelod hapana aisee. Wanagusa haswa.
Yanga mkaze kiuno.Mmetuibia Ticket zetu sasa mshinde
Yanga si uwa wanapenda kucheza kwenye Pressure jamaa wameamua kupoza MechiMasandawana wanapoteza muda kupitia kipa wao!
Ndio faida ya kuwa na kipa mwenye uwezo wa kuchezea mpira
Inshaaaalaaaah!! Na iwe hivyooo!!Lolote liwakute asee
Mungu ibariki Mamelodi
Tulia sasa uone unavyokandwautasubiri sana hilo, ila ukweli haitawezekana
hii ni timu mkuu,sio tia maji tia maji ya jana
yanga apigwe unaota mkuuWalau tumefurahia boli Sasa nyie mtapigwa na mchezo wa hovyo
Mimi naangalia Mpira sio mshabiki wa matimu yenu haya ila yakifaulu inaongeza faida Kwa Nchi.Ya jana yasha pita mli kandwa tulieni apo [emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] muda bado bhana, tulizanaaa.Jana Simba walicheza vizuri kuliko huu upuuzi wanacheza uto saizi [emoji38][emoji38]
Kolo ni kolo tu...yaani dakika ya 13 hata mpira haujatulia unaanza kuandika UndundukaJana Simba walicheza vizuri kuliko huu upuuzi wanacheza uto saizi 😆😆
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu tulizanaa, na ulibetiaa kikosi kipanaa.Ubuntu- botho [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!! Sema vyura siwaamini sijui kwanini??
Tatizo WazitoMzize na Musonda waache utoto hii mechi tuna tuna nafasi chache sana.
Nani ana mihemko mechi ya kwangu so lazima niongee wewe ndio ukae kimya sio shughuli yako.Ndo u relaaaxxxx sasa, mbona muhemkoo hivyooo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]