FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Japo Mimi Ni Simba kusema kweli hio move ya musonda angekua pacome ingekua habari ingine pia move za Max angekua pacome tungekua tunazungumza mengineo muda huu..

Still:
Mtani lolote baya liwakute [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni lolote Baya liwakute Mamelodi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpira mgumu.
Atakayeanza kufungwa anaingia kwenye mfumo moja kwa moja
 
Back
Top Bottom