Mr Devil
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 12,445
- 27,920
Ata jana kolo aliongoza PossessionHadi saizi Mamelodi ndio wanaoongoza Kwa possession,pili hii ya kukosa utulivu na kupapalika pale mbele ni shida sana Kwa timu zenu hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata jana kolo aliongoza PossessionHadi saizi Mamelodi ndio wanaoongoza Kwa possession,pili hii ya kukosa utulivu na kupapalika pale mbele ni shida sana Kwa timu zenu hizo
Anaongoza ngapi?Mpaka saa hii Yanga mshindi...labda akaharibu ya pili....
Nimereewwaa mkuumbona unatetemeka
wewe huku umewahi fika wapi si unaishia hatua hii miaka yoteMamelodi hawajaja kupaki basi kama Al Ahyl.
Umiliki wetu wa mpira ni 27%. Siyo mbaya
[emoji23][emoji23][emoji23] haswaaa tena wenuu kabisaa.Ushindi wetu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukubwa wenu unaupima kupitia huyo mwenzenu.Mpaka hapa Yanga ni timu kubwa. Wenzetu jana dk ya 5 tu walikuwa wameshatolewa
Kwa striker ya mzize na msonda hata mimi nnge wadharau ningetoa na kipa gorini kabsaHawa Mamelod zarau zitawaponza..
Goli ni goli bila kujali limepatikana dakika ya ngapi iwe ni sekunde ya kwanza ya mchezo au dakika za nyongeza.Mpaka hapa Yanga ni timu kubwa. Wenzetu jana dk ya 5 tu walikuwa wameshatolewa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa striker ya mzize na msonda hata mimi nnge wadharau ningetoa na kipa gorini kabsa
Unataka afanyaje🙄Shalulile huyu Leo mbona km simuelewiii hivii, sioni kile kitu huwa anafanya always??