FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

Ukitaka kumfunga yanga hakikisha unakuwa na umiliki mzuri wa ball.
Mamelodi wamefanya homework yao vizuri
 
Kwaiyo Hawa ndo wa brazili wa south? Ndo maana wana struggle kufika fainali kama mwakarobo .
 
Watu walimchukulia poa Yanga.... lakini amekaza hadi muda huu.
 
Mpaka hapa Yanga ni timu kubwa. Wenzetu jana dk ya 5 tu walikuwa wameshatolewa
Goli ni goli bila kujali limepatikana dakika ya ngapi iwe ni sekunde ya kwanza ya mchezo au dakika za nyongeza.

Mtu yoyote yule anaeujua mpira hawezi kuja point nyepesi kama yako, unless awe ni mkata nyanya jikoni huko.
 
Back
Top Bottom