FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Kwa Kifupi Baada ya Hii game Yanga na Azam watakuwa wanalingana Mechi kwa tofauti ya Point moja.

Means Uto point 32
Azam Point 31.

Hizi suluhu hizi zinamleta mnyama kileleni kirahisi sana
 
Kwa Kifupi Baada ya Hii game Yanga na Azam watakuwa wanalingana Mechi kwa tofauti ya Point moja.

Means Uto point 32
Azam Point 31.

Hizi suluhu hizi zinamleta mnyama kileleni kirahisi sana
Dakika ya ngapi?
 
Basi kama Suluhu ni Yanga kushinda uko sahihi.

Hawana Dalili
Napenda hilo litokee ila nao watahakikisha wanafanya kila liwezekanalo wapate ushindi hata kwa kuiba

Wakitoa sare na hapo hakutakuwa na gape tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…