FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Kwa Kifupi Baada ya Hii game Yanga na Azam watakuwa wanalingana Mechi kwa tofauti ya Point moja.

Means Uto point 32
Azam Point 31.

Hizi suluhu hizi zinamleta mnyama kileleni kirahisi sana
Sema tena na tena hakikisha Mangungu anakusikia
 
Chezaji linachezea inayoitwa timu kubwa halafu linaamini uchawi...safari ni ndefu.
 
Uchawi upo wapi kijana wa Rage
Hujaliona likijana lenu Mzize linatoa taulo la kipa golini na kufukua kwenye mlingoti likiamini goli haliingii kwa sababu ya vitu kufukiwa. Likijana kama hilo utalipeleka wapi kama sio kuchezea hapa hapa Bongo?
 
Uto walitepeta mnoo..vijana wameshindwa kuwapiga hao vyura kweli...
Kaama hujawahi pigwa 5 na mnyama basi na useme sasa...ila huo ulimbukeni watu wa unyamani hatuna..
Wenzenu wanajikaza wanafungwa moja nyie mnajilegeza adhabu yake ni kono la nyani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…