FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Hujaliona likijana lenu Mzize linatoa taulo la kipa golini na kufukua kwenye mlingoti likiamini goli haliingii kwa sababu ya vitu kufukiwa. Likijana kama hilo utalipeleka wapi kama sio kuchezea hapa hapa Bongo?
Kwani nyie simba ule moto mliochoma uwanja pale south Afrika ulikuwa wa kazi gani?
 
Guede sio mfunga magoli anafaa kucheza movie ,
Inakuwaje ananunuliwa mchezaji bila kujua performance yake Hata kujaribu mashuti ya maana hakuna??, nafuu ingesajili mtanzania sema tuna tabia ya kudharau vya kwetu kama timu ya Afcon na wahindi .

Nzengeli naye anapiga chenga mahali hakuhitajiki na mashuti mahali hakuhitajiki kuna haja akae benchi kwa muda akili imrudie
 
Nasikia mmebebwa tena..nilikua nje nakuta goli nasikia wa dom kafanyiwa faulo lakini refa kapeta ikaenda kuzaa goli....hizi timu zinaboa jamani..hivi hao wachezaji wengine mnawaoma matikikiti???
 
Hujaliona likijana lenu Mzize linatoa taulo la kipa golini na kufukua kwenye mlingoti likiamini goli haliingii kwa sababu ya vitu kufukiwa. Likijana kama hilo utalipeleka wapi kama sio kuchezea hapa hapa Bongo?
Mbona umepanic sana?
 
Wenzenu wanajikaza wanafungwa moja nyie mnajilegeza adhabu yake ni kono la nyani
Ww limbukeni hizo 5 mm ukinambia sishtuki labda kama kuna wengine zinawauma..tano zimefungwa sana na mnyama..ameshawalaza mlango nje kwa goli 6 kwa 0...ila kwa ulimbukeni wenu mpk leo 5 tanoo...
Nadhani wazungu wakiona comments za utopwox wanajiuliza hivi hawa 5 hizi waliotea au???? Mbona kama wana ka ushamba fulani hivi
 
Hujaliona likijana lenu Mzize linatoa taulo la kipa golini na kufukua kwenye mlingoti likiamini goli haliingii kwa sababu ya vitu kufukiwa. Likijana kama hilo utalipeleka wapi kama sio kuchezea hapa hapa Bongo?
Kwa hio huo ndio uchawi?
 
Back
Top Bottom