FT: Yanga SC 1-0 Dodoma Jiji | NBC premier League | Azam Complex | 05.2.2024

Kabisa kabisa
 
Daimambele!
Point 3 muhimu sana
 
Hilo li mzeze ni jinga..wanawaonea sana timu hizi wakati jujui wao ana mtaulo huwa anauweka pembeni...Manula ana mtaulo mbona huwa hawaitoa mtaulo wa kipa wa Simba?
Hapo ndo huwa nawaza sana fikra za Kiongozi wao Injinia. Kutwa kujinasibu kuwa na utawala Bora sio uongozi Bora ila timu yake ndo inaongoza kwa kupita milango isiyoruhusiwa na kuwaza ushirikina Tu
 
Hapo ndo huwa nawaza sana fikra za Kiongozi wao Injinia. Kutwa kujinasibu kuwa na utawala Bora sio uongozi Bora ila timu yake ndo inaongoza kwa kupita milango isiyoruhusiwa na kuwaza ushirikina Tu
Yani pale mazindiko yamelala...
 
Niko na mr tunaangalia mechi basi tunafurahia dkk zinasonga huku tunaomba wadroo sasa ile hali ya kuomba hilo...
Aisee roho mbaya inatesa sana... 😂 😂😂
😁😂🤣Pole sana mtani hii Mimi ilinikutaga juzi kwenye mechi ya mali ile aisee mchezo wa mpira ni mchezo wa mokosa sana😁😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…