FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

Kila la kheri Chama langu Young Africans 💚💛💚 #DaimaMbele #NyumaMwiko
 
Toka yanga aanze kuchezesha majini soka limepoteza ladha kabisa...
 
Kila la heri Mamelodi sundowns
 
Huyu bwege(mtangazaj) alikua anaongea nn nyuma ya mike
 
Huyo Pascal Kabombe mwambieni aache usimba wake kwenye mechi za Yanga,kuna upuuzi ameongea hapo hakujua kama anasikika hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…