FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

Kocha wa Azam ameshawatahadharisha marefa mechi yao na Simba timu yenye uwezo iachwe ishinde.

Maana kilichofanyika mechi ya Simba na Tabora united ni dhuluma ya wazi.
Yaan hadi niliona aibu mimi
 
Hakuna namna Tena...
🏆🏆🏆🏅🏅🏅🏅
🤣🤣🤣🤣
 
Guede kafunga clear goal very clear line two kasema ni offside
Ajabu sana!!!
Kwa mtu ambae amekuwa kwenye touch line anajua maumivu ya maamuzi mabaya
Makolo ndio wajuwe kuitwa bingwa siyo jambo dogo lazima watu wapambane home and away ndio apatikane bingwa, siyo mabonanza ya kujitungia tu mechi mbili unapewa kombe stukeni mnachoreshwa tu.
 
Kocha wa Azam ameshawatahadharisha marefa mechi yao na Simba timu yenye uwezo iachwe ishinde.

Maana kilichofanyika mechi ya Simba na Tabora united ni dhuluma ya wazi.
Marefa wetu ni changamoto sana wanachangia kwa kiasi kikubwa kurudisha mpira wetu nyuma
 
Back
Top Bottom