mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Ndo marefa wetu haoYanga wanacheza rough nyingi lakini mpaka saizi refa hajatoa kadi hata moja
Kwa mparangeHuyu Bigirmana alicheza Newcastle Ipi?
Sisi tulisema, hawa wachezaji wa msimu mwisho wao haujawahi kuwa mzuriKwamba “walifluku” ?
Itakuwa castle light ile biaHuyu Bigirmana alicheza Newcastle Ipi?
Uto unapelekewa moto si wa kitotoAlly Aweso amewakosa uto bonge la shuti
Una hakika ..!Kiukweli yanga kuna tatizo kubwa sana katika safu ya ulinzi ...saivi beki pale ni mmja tu...Dickson job.
Uingozi inabidi ujitathmini