FT | Yanga SC 1-0 Simba SC | Ngao ya Jamii | New Amaan Complex | 12.08.2026 | Yanga mabingwa

Wana Simba wenzangu tuungane....hizi sasa ni dharau kutoka kwa viongozi wetu....mwaka huu pia hatutapata hata kombe lolote....klub bingwa pia sijui itakuaje....angalieni timu yetu toka ilipokuwa Rwanda....matokeo iliyopata na timu ilizocheza nazo.....Simba day...na hii ya Leo....ushauri wangu.....tuache kwenda uwanjani mechi yeyeto ya simba ...pia tusinunue jezi.....hawa utopolo bado hajajipata....mechi zinazofata tano zinarudi..... usiku mwema.
 
kolo ashakua mke wetu kila mechi lazima tumwagie mabao ndani 😁
 
Leo ndo nimeamini yanga haishindi dabi kikawaida haiwezekani una kocha mpya uba wachezaji wapya huna pre season halafu unashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…