FT: Yanga SC 1-1 Simba SC | Ligi Kuu NBC '22/'23 | Benjamin Mkapa Stadium

Israh Mwenda nilikiwa nam underestimate kimakosa sana
sasa hivi ana gain siku baada ya siku,sasa Kapombe anaenda kupata msaidizi aliye sahihi.
mimi nalia na Kiungo Punda bado sijafurahia uchezaji wake.
 
sasa hivi ana gain siku baada ya siku,sasa Kapombe anaenda kupata msaidizi aliye sahihi.
mimi nalia na Kiungo Punda bado sijafurahia uchezaji wake.
Yule dogo hapana, kashindikana

Wazee wa Yanga lazima watamuwekea vikao
 
Kwani hivi unajua kuna kitu huwa kinawaingia wachezaji bila wao kujua ee sasa kwanini Okra alikua anashindw kutoa pasi kwa mtu alie kaa kwny position nzuri?
 
Kwahiyo Simba hawakutaka ushindi mechi ya leo?

Hivi akili zenu zipo nchonyoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…