Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Sema goli bora la mwaka NBC PL 2022 - 2023 we KOLOWIZARD, uwe na adabu, shuti limepimwa nyuzi 90 hadi Manura kavunja mbavu afu unaropoka ropoka tu hapa hala [emoji19]Faulo imewakenulisha leo vyura yani wasingetoka na Simba wangeongeza cha pili au kulinda goli lao.
Timu zenyewe kikosi mganga anapanga timuTuna safari ndefu kama taifa, mzamiru hawezi kuwa midfielder, hamna mchezaji mule, kwenye timu yangu hachezi hata adhikiri uchi.. Sijui kwanini tuna mdharau nelson OKWA yule jamaa ana sifa zote za namba 8.
Binafsi Feisal naona Bado anahitaji kubadilika SanaYes, na Feisal pia
Ila huu mtandao wa JF Kuna Kila aina ya neno, yaani namna unavyokuja ndivyo unavyopokewaShika vizuri dela lako dada naona una sasambua
Wewe kama unavaa dela usifikiri ni wote na ndio maana Club yenu ikaamua kuwaenzi kwa kuwaweka kwenye logoShika vizuri dela lako dada naona una sasambua
Aweje sasa kama mpira ushamkataa unataka abadilikaje?Binafsi Feisal naona Bado anahitaji kubadilika Sana
Achilia mbali swala la team yoyote dunia kutengenza jersey za madera, ambalo hujaamua kabisa kumuuliza[emoji23].Wewe kama unavaa dela usifikiri ni wote na ndio maana Club yenu ikaamua kuwaenzi kwa kuwaweka kwenye logo
Ushawahi ona wapi Club ya mpira wa miguu ya wanaume imeweka mademu wakiwa ya sare ya kihodoro kwenye nembo?
Hebu nipishe hukoo UTONDUMBAZ hujawahi kuona magoli nini? Hayo ni marudio mwamba Okra alishachonga faulo moja matata sana hapo mbona karibu tuu.Sema goli bora la mwaka NBC PL 2022 - 2023 we KOLOWIZARD, uwe na adabu, shuti limepimwa nyuzi 90 hadi Manura kavunja mbavu afu unaropoka ropoka tu hapa hala [emoji19]
Kocha mwenye kilo zake ligi kuu...Haya mpeni mkataba Mgunda au bado mnamsikilizia
Katufunga au kachomoa?Mbaya zaidi kawafunga msio mpenda
Huyu jamaa bado nampa muda,azoee sawa sawa ligi yetu
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu jamaa bado nampa muda,azoee sawa sawa ligi yetu
Dah... Kumbe nimemsema vibaya mumeo dadangu! SorryMke wa Professor wa mpira umesikika toka MAKOLO radio [emoji38]
Yanga aanze maandalizi wakati kishapiga Simba mechi tatu mfululizo. Tena leo mentality Yanga haikuwa vizuri, ila hii mechi leo imemjengea kujiamini.Katufunga au kachomoa?
Hii ni mechi ambayo nyinyi mliianzia maandalizi tangu mwaka jana
Kila siku mlikuwa mnaangalia kalenda zimebakinsiku ngapi tuifikie tarehe 23
Simba ikicheza na timu nyingine ikapata matokeo mnaaza "mtaona tarehe 23 mayele lazima ateteme"
Leo hii upepo umetoka kutoka kwa Mayele saizi mmeanza na Azizi Ki?
Kwa hiyo huyu ndio mtaanza kumtumia tena kama threat kwenye mechi ijayo ya marudiano na sio Mayele tena?
Hizi ni akili za wapi?
Angalia magoli ya leo halafu angalia namna ya ushangiliaji wa magoli ya leo,then rudi hata fuatilia namna ya comment ya washabiki wa timu hizi ndio utajua nani alikamia hii match kufuta uteja na nani aliichukulia match kama zingine tuKatufunga au kachomoa?
Hii ni mechi ambayo nyinyi mliianzia maandalizi tangu mwaka jana
Kila siku mlikuwa mnaangalia kalenda zimebakinsiku ngapi tuifikie tarehe 23
Simba ikicheza na timu nyingine ikapata matokeo mnaaza "mtaona tarehe 23 mayele lazima ateteme"
Leo hii upepo umetoka kutoka kwa Mayele saizi mmeanza na Azizi Ki?
Kwa hiyo huyu ndio mtaanza kumtumia tena kama threat kwenye mechi ijayo ya marudiano na sio Mayele tena?
Hizi ni akili za wapi?
Katufunga au kachomoa?

misumari kaka alafu kiungo Punda anaushkaji wa kufa mtu na"Verone"Tuna safari ndefu kama taifa, mzamiru hawezi kuwa midfielder, hamna mchezaji mule, kwenye timu yangu hachezi hata adhikiri uchi.. Sijui kwanini tuna mdharau nelson OKWA yule jamaa ana sifa zote za namba 8.
Ni screen protector AKA mdaka mishale[emoji23][emoji23]Hivi Bado Aishi Mnamuita Air Manula? [emoji1787]