Kisinda na Moloko, zaidi ya mbio hakuna wachezaji mule. Hii swala hata Utopolo ambao wanajitahidi kuwa na akili wanalijua.Ivi nani mwingine alimuona refaa anamwambia moloko acha ushamba cheza mpira ???
Sijataka kumuuliza kwasababu msimu huu wamegundua kosa laoAchilia mbali swala la team yoyote dunia kutengenza jersey za madera, ambalo hujaamua kabisa kumuuliza[emoji23].
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama uchinjaji mbuzi ni ushirikina basi utakuwa unawakosea sana waumini wa dini ya kiislamu ambao wanaheshimu mfumo huo wa ibadaAngalia magoli ya leo halafu angalia namna ya ushangiliaji wa magoli ya leo,then rudi hata fuatilia namna ya comment ya washabiki wa timu hizi ndio utajua nani alikamia hii match kufuta uteja na nani aliichukulia match kama zingine tu
Nb:video aihusiani na nilichoelezea hapo juu
Imemjengea kujiamini wakati hii ni mechi yake ambayo ilikuwa juu kabisa kwenye list ya vipaumbele vya Club kwa mwaka?Yanga aanze maandalizi wakati kishapiga mechi tatu mfululizo. Tena leo mentality Yanga haikuwa vizuri, ila hii mechi leo imemjengea kujiamini.
Ndio mpira ulivyo kama leo upepo ulivyotoka kwa Sakho kuhamia kwa Okrah na kila game ina plan zake, kushine kwa mchezaji kunategemea kwa formation ya kocha ya siku hiyo.
Mleteee Mgundaa. Yanga wametepeetaaaGame plan ya Mgunda ilikua nzuri sana na imefanya kazi 95% changamoto ilikua uchoyo tu pale sehem ya mwisho, goli la kusawazisha la Yanga mipira ya set pieces kama ile hata huko duniani makipa bora wanaadhibiwa wakikutana na wapigaji mahiri kama alivyofanya Aziz Ki leo. Simba wampe mkataba wa uhakika Mgunda jamaa anajua na ball linatembea kweli!
ball itatembea kote sio kwa yangaGame plan ya Mgunda ilikua nzuri sana na imefanya kazi 95% changamoto ilikua uchoyo tu pale sehem ya mwisho, goli la kusawazisha la Yanga mipira ya set pieces kama ile hata huko duniani makipa bora wanaadhibiwa wakikutana na wapigaji mahiri kama alivyofanya Aziz Ki leo. Simba wampe mkataba wa uhakika Mgunda jamaa anajua na ball linatembea kweli!
Mdaka mishale alivyoona wakina maguire wamempa upenyo Okrah nilimuona akifoka huku amekunja sura yani kamaindi utafikiri amedondosha hela.Hivi Bado Aishi Mnamuita Air Manula? [emoji1787]
Vipambele kwa kitu ambacho ushakirudia rudia mara tatu, kipaumbele tumeweka kwa vitu ambavyo hatuja vifikia siku nyingi.Ila Simba hata tukipige tena hunifungi utishia kushangilia sare.Imemjengea kujiamini wakati hii ni mechi yake ambayo ilikuwa juu kabisa kwenye list ya vipaumbele vya Club kwa mwaka?
Hapa wenzetu washafunga kurasa, kilichobaki hapo kitamalizwa na Ahmedy Arajiga
Waelezee yani ooho tutawalipiza kipigo cha alhilal kweli waliikamia droo yao wenyeweeKatufunga au kachomoa?
Hii ni mechi ambayo nyinyi mliianzia maandalizi tangu mwaka jana
Kila siku mlikuwa mnaangalia kalenda zimebakinsiku ngapi tuifikie tarehe 23
Simba ikicheza na timu nyingine ikapata matokeo mnaaza "mtaona tarehe 23 mayele lazima ateteme"
Leo hii upepo umetoka kutoka kwa Mayele saizi mmeanza na Azizi Ki?
Kwa hiyo huyu ndio mtaanza kumtumia tena kama threat kwenye mechi ijayo ya marudiano na sio Mayele tena?
Hizi ni akili za wapi?
aliye ashibiwa na caf kisa ndumba ni naniYani hii misare misare uto kujiona un beaten ya kariakoo hahahaah haaah lol kumbe unbeaten kwenye ndumbaaaa
Ule ni ubani duwaaa ile ni duwaaaa bwasheealiye ashibiwa na caf kisa ndumba ni nani
alikuwa anatafuta namna ya kuwaondoa yanga kwenye mchezo kwa manufaa flaniIla refa katoa kadi nyingi sana nyingine alitakiwa achune.
Kurudia mara nyingi ndio furaha yenu hilo mbona liko wazi na juxi tu hapo Ally Kamwe amekiriVipambele kwa kitu ambacho ushakirudia rudia mara tatu, kipaumbele tumeweka kwa vitu ambavyo hatuja vifikia siku nyingi.Ila Simba hata tukipige tena hunifungi utishia kushangilia sare.
yanga kaongoza mashuti kuelekea goliniSimbaaa imetawaala mpira anaebisha akamuulize jujui jiara