FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Leo tunamsifu kweli kweli ila alipokuwa kule Kutwa tulikuwa tunamponda, tunamdhihaki na kumuita Mzururaji Uwanjani.
mkuu si unasemaga mpira unaujua? umecheza na kuchambua unajua? sasa mbona koments zako hazireflect unayosemaga? unamkumbuka pogba wa juve na pogba wa man u? unamkumbuka messi wa kabla ya pep na mess chn ya pep?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…