GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ila alipokuwa Kwetu hakuwa mzuri si ndiyo?Baleke yupo vizuri.. Tar 8 mjiandae kisaikolojia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila alipokuwa Kwetu hakuwa mzuri si ndiyo?Baleke yupo vizuri.. Tar 8 mjiandae kisaikolojia
Leo tunamsifu kweli kweli ila alipokuwa kule Kutwa tulikuwa tunamponda, tunamdhihaki na kumuita Mzururaji Uwanjani.Baleke ni mzuri akituliza mapepe, hata onana hivo hivo
Ya Wazee wengi watakaosaidiwa na Majini na Tigo Pesa NBC Premier League ikianza?Hii ndio Yanga tunayoitaka
Naunga mkono hojaTimu za Africa zitapata tabu sana kwa huu mpira wa Yanga
Mbaka ndo nn.Hahahaha nimewakela Sana Leo mbaka wanaomba nipigwe ban
Kabisa mkuuMpira wa Bongo ( Tanzania ) raha sana kwani utakuta Mtu anaitwa Chizi akiwa Kwingine, ila akiwa Kwao ni Mwerevu.
Mtu siye nyau mzee. Asiyefaa kafaa...! 😅Mpira wa Bongo ( Tanzania ) raha sana kwani utakuta Mtu anaitwa Chizi akiwa Kwingine, ila akiwa Kwao ni Mwerevu.
AahaaaaAkina Pamba FC wanafanya mazoezi vichakani.
Mabadiliko tabia yanchiAliyekuwa hana kasi msimbazi leo ana kasi jangwani. Na aliyekuwa mzee msimbazi leo ni kijani jangwani.
Dogo uko university andika kiswahili fasaha.Hahahaha nimewakela Sana Leo mbaka wanaomba nipigwe ban
Ni sahihi kabisa. Wenzetu hata ligi hazijaisha wanaanza kutoa jezi .Timu za Tz zinaendeshwa kienyeji sana. Huu ndio ulikuwa wakati wa kuuza jezi zao. Ajabu hii timu inaingia na magunya
mkuu si unasemaga mpira unaujua? umecheza na kuchambua unajua? sasa mbona koments zako hazireflect unayosemaga? unamkumbuka pogba wa juve na pogba wa man u? unamkumbuka messi wa kabla ya pep na mess chn ya pep?Leo tunamsifu kweli kweli ila alipokuwa kule Kutwa tulikuwa tunamponda, tunamdhihaki na kumuita Mzururaji Uwanjani.