changaule
JF-Expert Member
- Jan 10, 2020
- 6,039
- 10,151
Max akifika golini kwa mpinzani anatia hasira, ila akiwa kwenye majukumu mengine amejitahidi.Yes Yao pia na Max
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Max akifika golini kwa mpinzani anatia hasira, ila akiwa kwenye majukumu mengine amejitahidi.Yes Yao pia na Max
yao kwasi ataondoka yanga muda si mrefu, kiwango chake kipo juu sana.Yanga wako vizuri,Jamaa wanaubora wa juu zaidi Yao.Mzize asirudi SH Bado hajabadilika utulivu mdogo.Ila Kii ni baraaa sanaaa!
Kama si Diara mngekuwa mnaogelea goli 4.Yanga walijitahidi sana kucheza, ila hili goli la kwanza ni la Diarra. ule ulikuwa wa kudaka kabisa.
Mwaka jana mlienda Turkey,mkaambulia nafasi ya tatu kwenye ligi😁Preseason ya Coco Beach & Kigamboni inalipa
Sasa hawa unawaona wako serious hapa?Sevilla walicheza kimasihara sana.
Kama wangecheza ile kukamia simba mngekufa kumi bila.
Nlicheki game usitudanganye.
Unajizima data kuwa hujui tulichomfanya sevilla?Angekuwa ni Simba angekuwa amefungwa magoli saba kipindi Cha kwanza.
Ndio nimerudi mazima, Kwa usajili uliofanyika naanzaje kukimbia tena, Dada yangu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16].Karibu sana.
I hope hutaadimika tena. [emoji1666]
Kubakisha wachezaji wao ni jambo la msingi sana.Wale kwenye hiyo sector huwa wako makini sana.
Nb
Usajili Bora yanga imefanya msimu huu ni kubakisha team ya ushindi
Tuwakumbushe Watu mnacheza na Timu kubwa.Karibu sana.
I hope hutaadimika tena. 🤝
3 -1Tupeni matokeo jamani wengine tupo chaka... Kwa ubora wa yanga bila shaka wanaongoza goli 3+
Hana baya Mzee wetuHahaaaa magoma kapata umaarufu mkubwa sana.
Mkuu baadae usikimbie 😁😂😂Tuwakumbushe Watu mnacheza na Timu kubwa.
Ilimaliza ligi ya Ujerumani nafasi ya 11.
Mkiifunga hakuna timu yakuwasumbua Africa.
View attachment 3047257
Unatizama mpira vizuri!?Sasa hawa unawaona wako serious hapa?
Hawa unawaona wako serious kwasababu wanacheza na ma grandpa.
Kwanza unatakiwa ujue ile mechi sisi tulifelishwa na Uchebe aliyekuwa anataka kila mtu acheze.
Mwisho wa siku akawa anawaingiza kina Salamba ambao muda wote walikuwa wana uoimbukeni wa kuwashangaa wachezaji wa Sevilla.
Wa aleykum salaam Mtani. Nakusalimia.TASAF FC fan
Salaam alaikum
Sio rahisi mdauHii game ni sare
Mpira ulidunda ule, angalia vizuri mkuu. Ulivyodunda ukaenda juu ya mkono wakeYanga walijitahidi sana kucheza, ila hili goli la kwanza ni la Diarra. ule ulikuwa wa kudaka kabisa.