FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

FT: Yanga SC 1-2 Fc Augsburg | Mpumalanga cup | Mbombela Stadium | Saturday, 20 July 2024

Sevilla walicheza kimasihara sana.
Kama wangecheza ile kukamia simba mngekufa kumi bila.
Nlicheki game usitudanganye.
Sasa hawa unawaona wako serious hapa?

Hawa unawaona wako serious kwasababu wanacheza na ma grandpa.

Kwanza unatakiwa ujue ile mechi sisi tulifelishwa na Uchebe aliyekuwa anataka kila mtu acheze.

Mwisho wa siku akawa anawaingiza kina Salamba ambao muda wote walikuwa wana uoimbukeni wa kuwashangaa wachezaji wa Sevilla.
 
Yanga kajitahidi sana, hasa ukizingatia wanacheza na timu kubwa sana. Pia kwa Yanga hii ni mechi ya kwanza ya kujipima.
 
Wale kwenye hiyo sector huwa wako makini sana.
Nb
Usajili Bora yanga imefanya msimu huu ni kubakisha team ya ushindi
Kubakisha wachezaji wao ni jambo la msingi sana.

Hii mechi mpk.sasa wamecheza kwa heshima zote kuheshimu bundesliga
 
Karibu sana.

I hope hutaadimika tena. 🤝
Tuwakumbushe Watu mnacheza na Timu kubwa.
Ilimaliza ligi ya Ujerumani nafasi ya 11.
Mkiifunga hakuna timu yakuwasumbua Africa.
Screenshot_20240720-165234~2.png
 
Tupeni matokeo jamani wengine tupo chaka... Kwa ubora wa yanga bila shaka wanaongoza goli 3+
 
Sasa hawa unawaona wako serious hapa?

Hawa unawaona wako serious kwasababu wanacheza na ma grandpa.

Kwanza unatakiwa ujue ile mechi sisi tulifelishwa na Uchebe aliyekuwa anataka kila mtu acheze.

Mwisho wa siku akawa anawaingiza kina Salamba ambao muda wote walikuwa wana uoimbukeni wa kuwashangaa wachezaji wa Sevilla.
Unatizama mpira vizuri!?
Umeona safu yao ya ushambuliaji inavyokamia!?
Augsburg wanakamia mzee Embu rejelea vizuri game.
Sevilla waliwachezea kiutani.
Unadhani kina Eva Banega wangepiga lile formation Lao la 3-5-2 NINYI mngechomoka!?
Acheni utani ninyi.
 
Huu ni mwanzo tu.mpaka mrudishe timu kwa mzee magoma ndo mtafanikiwa.laana hii
 
Back
Top Bottom