Hujawahi kujibu hoja pia.Hata kama ni ushabiki ila hii sasa imezidi aiseee, niliwahi kusema humu kwa huu utoto wa kuanzisha hizi thread za match ni bora tu mods wakwa wanaanzisha wao hizi nyuzi.
ShindwaaaaLolote liwakute maana mlisema hamna haja ha haya mashindano...
First Eleven bado haijatoka tu mpaka muda huu!!Tupo tayari kwa mchezo wa robo fainali mechi ni saa 2:15 usiku
Mungu ibariki Yanga SC
View attachment 2864134
Huwa inatoka one hour before the game.First Eleven bado haijatoka tu mpaka muda huu!!
Kabisa Mkuu. Mleta uzi achukue mawili matatu hapo. πUkakuta ana miaka isiyopungua 6 hapa JF π€£ anyway, ana kitu asikilizwe π€£π€£π€£
ashibishe uziKabisa Mkuu. Mleta uzi achukue mawili matatu hapo. π
Sio kweli kaka πππ ni mara chache hutokea labdaHuwa inatoka one hour before the game.
Sema mwamba nyuzi zake huwa haweki vikosi.
Sijui kwanini!!
Kaka huyo msimjibu mpuuzeni huyoHujawahi kujibu hoja pia.
Inavunja sheria gani ya jf?
First Eleven bado haijatoka tu mpaka muda huu!!
Haya tayari kimetoka.Sio kweli kaka πππ ni mara chache hutokea labda
Tayari nimekiweka dakika 33 zilizopitaHaya tayari kimetoka.
Kitupie hapo juu
Utoporooo mnapigwa si chini ya goli mbili leo....πππSquad ya Gamondi kwenye Mapinduzi ni ile ile (wachezaji wasiopata nafasi first eleven)
Tunasubiri utoporooo mtandikwe 2-0 halafu mkishatolewa kwenye mashindano mje na visingizio vilevile vya miaka yoteπππFirst Eleven bado haijatoka tu mpaka muda huu!!