LuisMkinga
JF-Expert Member
- Jan 10, 2012
- 3,255
- 6,252
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pumbavu sana.Hii APR ndio ile waliyoisumbua simba? Mpaka simba wakaweka full squad isitoshe mpaka wakamuita onana ambaye alikuwa hayupo substitution lakini waka suluhu.
Leo wanacheza na yanga B tena wamefungwa na moloko!!
Kaka naskia wamepewa majimama ya masaki wamepowa mjiniNo fall hapa.
Wamemaliza tu.
Hivi Pacome, Sureboy, Aucho, Max, Yao wanamajukumu gani?
Mbona hawachezi?
Unajifariji tu utopolo. Wote tumeona akina Shekhan, Mzize , Kibabage waki attempt ili wafunge halafu wewe unasema hujaona juhudi , uwezo ulikuwa mdogo ndio hivyo.Watu wanaweza wasielewe kabisa.
Capacity ya Yanga kupambana inajulikana. Kifupi hakukuwa na juhudi zozote zile.
Sure, kwasababu sisi tunaweka muda na mapenzi yetu kwa timu ila wao wanafanya hila.Skudu kajivunja....kaenda nje,Lomalisa kaenda nje,ili iweje sasa?
Mkude na Maxi hata sub hawakuwepo kabisa......next time kama hawayataki haya mashindano wasipeleke timu kabisa
Skudu na Lomalisa waliumia?Unajifariji tu utopolo. Wote tumeona akina Shekhan, Mzize , Kibabage waki attempt ili wafunge halafu wewe unasema hujaona juhudi , uwezo ulikuwa mdogo ndio hivyo.
😂😁🤣🤣
Naunga mkono hojaGamond anapaswa afukuzwe ni mpambavu Sana, yaani watu wameacha shughuli zao kuja kudhalilika na kitimu Kama APR, viongozi ni wapuuzi sana.
Hapo hatujai. 🤣🤣🤣Gamond anapaswa afukuzwe ni mpambavu Sana, yaani watu wameacha shughuli zao kuja kudhalilika na kitimu Kama APR, viongozi ni wapuuzi sana.
Ball possession Yanga 42 APR 58Tunaomba takwimu za kipindi cha pili mkuu ndugu yetu.
Whatever! Ila hii game Yanga hawakutaka kushinda.Kaka naskia wamepewa majimama ya masaki wamepowa mjini
Naunga mkono hoja Bora turudi zetu kujiandaa na mechi ya wale waarabuWhatever! Ila hii game Yanga hawakutaka kushinda.
Mkuu hata wewe umelalwa?Excuses kuwa wachezaji fulani Hawapo ndio maana tumelalwa ni excuses ya kitoto, wachezaji wote wa Yanga tumesajili kwa uwezo wao na wanakula mshahara kila mwezi.
Wakati Yanga tunalalwa na ihefu, hao wachezaji hawakuwemo,? wakati tunakula tatu bila pale Algiers, hawakuwepo?