FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

1704655614248.png
baada ya engineer kupiga picha na Mbape
 
Sisi ni wananchi,Kiroho safi tumekubali kufungwa na APR Fc, makolo fungeni hizo bakuli zenu, case closed.
 
Hii APR ndio ile waliyoisumbua simba? Mpaka simba wakaweka full squad isitoshe mpaka wakamuita onana ambaye alikuwa hayupo substitution lakini waka suluhu.
Leo wanacheza na yanga B tena wamefungwa na moloko!!
Pumbavu sana.
Haya leta maneno tena.
 
Watu wanaweza wasielewe kabisa.

Capacity ya Yanga kupambana inajulikana. Kifupi hakukuwa na juhudi zozote zile.
Unajifariji tu utopolo. Wote tumeona akina Shekhan, Mzize , Kibabage waki attempt ili wafunge halafu wewe unasema hujaona juhudi , uwezo ulikuwa mdogo ndio hivyo.
 
Skudu kajivunja....kaenda nje,Lomalisa kaenda nje,ili iweje sasa?

Mkude na Maxi hata sub hawakuwepo kabisa......next time kama hawayataki haya mashindano wasipeleke timu kabisa
Sure, kwasababu sisi tunaweka muda na mapenzi yetu kwa timu ila wao wanafanya hila.
Sema huwa wanapeleka timu ili serikali ione kuwa wanajali.
 
Unajifariji tu utopolo. Wote tumeona akina Shekhan, Mzize , Kibabage waki attempt ili wafunge halafu wewe unasema hujaona juhudi , uwezo ulikuwa mdogo ndio hivyo.
Skudu na Lomalisa waliumia?
Umeangalia mpira?

Ulishawaona Yanga wakitafuta goli?
 
Gamond anapaswa afukuzwe ni mpambavu Sana, yaani watu wameacha shughuli zao kuja kudhalilika na kitimu Kama APR, viongozi ni wapuuzi sana.
Naunga mkono hoja
 
Gamond anapaswa afukuzwe ni mpambavu Sana, yaani watu wameacha shughuli zao kuja kudhalilika na kitimu Kama APR, viongozi ni wapuuzi sana.
Hapo hatujai. 🤣🤣🤣
 
Hawa APR wangekuwa makini leo tungekula khamsa kwa moja. Vijana ni mapafu ya mbwa.
Marefa pia walikuwa upande wetu Ila hatujabebeka. Dakika 9 pia ilikuwa ni inside job but riziki haikuwa yetu.

Nina mashaka na ubora wa kocha.

Niweke wazi. Inawezekana hii yanga huwa inashinda kwa uwezo binafsi wa players but sio kwa mbinu za kocha. Tuchunguze hilo.
 
Excuses kuwa wachezaji fulani Hawapo ndio maana tumelalwa ni excuses ya kitoto, wachezaji wote wa Yanga tumesajili kwa uwezo wao na wanakula mshahara kila mwezi.

Wakati Yanga tunalalwa na ihefu, hao wachezaji hawakuwemo,? wakati tunakula tatu bila pale Algiers, hawakuwepo?
 
Mkuu hata wewe umelalwa?
 
Back
Top Bottom