FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

FT: Yanga SC 1-3 APR FC | Mapinduzi Cup | Aman Complex | 07/01/2024

Tutabishana hadi kesho hapa.

Hebu cheki game Yanga aliyofungwa na Ihefu.
Utizame na hii
Hoja ya hovyo sana. Kwa hiyo timu inakuwa na performance sawa kila mechi? Kwa hiyo unaona hii nayo iliyocheza leo ni timu ya maana kiasi kwamba haiwezi kuzidiwa na APR?
 
Utopolo...

1704658158508.png
 
Kama kawaida ilivyo desturi kwa wana Yanga katika kudumisha mshikamano wa kuweka mgomo kuzima data pale timu inapopata matokeo mabaya.

Bado haifahamiki ni kwa namna gani hufanya mawasiliano mpaka kufanya utekelezaji wa mgomo huu uwe na muitikio mkubwa.
 
Kwasasa kocha Gamond awe anawapa nafasi vijana wakioshiriki mapinduzi cup.
Vijana wengi wanauwezo kinacho hitajika wawe wanapata dk 15/ 20 kwenye ligi watakua Bora zaidi.
 
Imekuwaje Yanga akafungwa ? Pacome, Max Nzegeli, Kennedy na Aucho hawakuwamo kwenye timu? Mimi sikuuangalia mchezo huo kabisa kwani niliposikia kuwa vinara hao wa Yanga wameitwa kujiunga na na wenzao huo Zanzibar basi nilijua matokeo yatakuwa wazi wazi tu.
 
Back
Top Bottom